Sunday, April 6, 2008

KARIBUNI FABAK FASHIONS

WAPENZI WOTE WA MITINDO NA ULIMBWENDE NAWAKARIBISHA KATIKA KIJIJI HIKI AMBAPO PAMOJA NA KAZI ZANGU NA MAELEZO YA KINA KUHUSU FANI HIZO PIA NITAKUWA NINAWALETEA HABARI ZINAZOHUSIANA NA MAMBO HAYO KILA YATOKEAPO HAPA NYUMBANI NA NJE YA NCHI. KARIBUNI KUTOA MAONI NA HATA KUKOSOANA KWA KUJENGA ILI TUENDELEZE FANI HIZI ADHIMU. PICHANI NI MIMI NA MUME WANGU BW. KHAMSIN IDDY AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA FABAK FASHIONS YENYE MAKAO MAKUU YAKE MSASANI, KARIBU NA NEW MSASANI CLUB, AMA MAKAO MAKUU YA ZANTEL, DAR ES SALAAM

1 comment:

fabak fashions said...

karibu sana kijijini anti asia. nimefurahi sana kwa wewe kuchukua hatua ya kujitangaza kwa njia ya kisasa. haya ndiyo mawazo endelevu yanayotakiwa kwa mchapakazi hodari kama wewe. hongera sana na karibu